Kiakpes

Kiakpes ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waakpes. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiakpes imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakpes iko katika kundi la Kibenue-Kongo.


Developed by StudentB